Share.

15 Comments

  1. Kazi poa Sana Vaa Jacket next time
    Sasa vipi hizo MA jobs Za Farming mimi ni farmer
    Hiyo kazi ya fruit picking
    Wewe hauelewi maisha ya Kenya Kunoma hiyo 200k imepotea hainokeni
    But kuko poa weather rain Sasa tuna panda

  2. Mimi nitakuja usikibie Siumepeeana Open invitation
    Wee poa tu Hiyo stuggart kuko smart Sana clean and Looks safe sijapna majabazi
    Kwanza umesema aje nikikuja serikali inapeana shamba Ama?
    As long umesema mboga cheap chakula cheap kuko poa Sana
    Maisha ya reservation ni poa bora bills zinalipika πŸ˜‚πŸ˜‚

Leave A Reply