Share.

31 Comments

  1. Wakenya kitu ina wa angushanga Europe ni drink driving wana kuja hapa na Tabia za Kenya wa kunywe ka pombe ni maji! These is a serious offence hapa you will loose everything just like that! Ka mbali na pombe na ukinywa use public transport period! Or throw your life away I have seen many characters loose themselves hapa from a good job to nothing

  2. Alafu taxes ,zinadrain watu kudrain….ata kusave ni ngori…Europe life ni hard…thus why hua nasho watu ukibahatika unapata just ata kama ni 70k per month in kenya,haijalishi kama wewe ni bizna person ama umeandikwa usikama kusettle in Europe…but kama wewe ni hasora kuja tuteseke Europe

  3. Wajerumani ni wakora wewe, watakupea chancenkarte alafu ukifika ujerumani utafute job mwenyewe na huwa ni ngumu sana kupata kazi na ukipata hiyo kazi kupata vibali vya kufanya kazi huko foreign office kupata appointment ni shida na uwezi anza kazi, mwisho wa siku hii naona kama ni scam hivi ya wajerumani kupata pesa kwenye fees za visa na vibali na kupata taxes

  4. Have always wondered,why dont Embassy of Kenya employ(pay you well)people like you Rogers,Timo wa uk,Onami to disseminate such information,you can work under Kenya Embassy in Germany,you'r doing much better job than those guys just sitting in the offices!

  5. As a kenyan living and working in Germany. You need to be really learned (Ausbildung) ya a real qualification in a job . But kama our kenyan Nurses walipekwa England waka fail in English. Mtaweza Germany and German rules and regulations . Its a big lie 😅

Leave A Reply